24 Jan 2009 @ 11:15 PM 
 

A warm welcome

 

Welcome, Karibu, Nyegera!

Enjoy your stay… This website is under construction

underconstruction_026

I have a great vision that one day this page will actually be finished and complete.

I have high standards for my work.

So high, in fact, that no matter how much I work on this page, I’m never quite happy with it.

Maxence M. Melo
  • Share/Save/Bookmark
Tags Categories: Home Page Posted By: Mac
Last Edit: 24 Jan 2009 @ 11 33 PM

EmailPermalink
 

Responses to this post » (16 Total)

 
  1. Emmanuel Owoya(Eng) says:

    I wish you nice journey for Creating personal and recruiting website, Best of LUCK!

  2. asifiwe malila says:

    Nakupa hi sana kwa mtizamo wako, sikufahamu kwa sura lakini jina lako si geni kwenye hii mitandao tunayotumia kuwasiliana. Mwanzo mgumu ila kama unayo ndoto hai basi utafanikiwa pasina shida.

  3. Kila la heri katika ujenzi wa website yako, hapana shaka siku ya ufunguzi utatutaarifu….

  4. Mac says:

    Wakuu,

    Nashukuru sana kwa maoni yenu. I see sikujua kama mmepita huku. Nafurahi na kufarijika kwa comments zenu.

    Mkuu wangu Kibunango, nakosa cha kuweka hapa kusema ukweli. Kila ninachofikiria naona hakipendezi, nafikiria tuugeuze uwanja wenu nyote niwape sub-domains mfanye mambo mnayotaka. Kama unahitaji nikupe sub-domain FREE na upate uwanja wa kujifunzia web designing niandikie nami nitakuandalia mazingira yako tu.

    Ahsanteni sana wakuu

  5. Careen says:

    All the best. Kumbuka, kumbuka, ‘Hata Rome haikujengwa siku moja’. As long as una malengo, ukiyafanyia kazi kikamilifu hakika utafanikiwa.

    Good luck.

  6. Kaka Gano says:

    ndugu yangu melo nitataka sana kuupata uwanja kuweka mambo yangu ktk pages zako.
    Ntashukuru sana

  7. Bro!
    Nazikubali sana jithada zako katika mtandao.
    Keep it high than the clod!

  8. Mac says:

    Asante wakuu… Tupo ukurasa mmoja!

    Dah, Gano… Mbona hatukutani kaka? Access nakupa full yani, full kikwelikweli!

    Ntakucheki kwa simu then tuangalie unahitaji nini hasa.

  9. Tzpride says:

    Mac you are creative and helpful as well. Nice job….hope you will put resourceful contents like job vacancies you are doing in JF.

  10. Samson (THINKPAD) says:

    Kazi nzuri sana,
    tunaiombea imalizike.

  11. kaka gano says:

    Mkuu nina full detail info za utalii hasa art industry.
    nimeshaandaa ktk mfumo mzuri labda ukiwa na chance nikuwekee ktk cd uperuzi kabla hujaziweka kapuni

  12. Richard says:

    Man nakuona uko sawa ila tamaa usiikate bali malengo kwanza.
    Ni vyema tukawa wabunifu kwani sisi wabongo hatuna self-motivational perspectives twapenda kulalamika sana. Nakuunga mguu baba go!!!!!!!

  13. Waitu oli eigilu muno!
    I have some dreams which needs great thinkers like you Maxence!
    Hopefully tutakutana kushea some ishuz!

    Ef 3:20-21 ‘Atukuzwe Mungu, Yeye atendaye mambo magumu mno na ya ajabu, kuliko yale tuombayo wala tuwazayo, KUPITIA NGUVU ITENDAYO KAZI NDANI YETU’

  14. Kaka gano says:

    mkuu max
    vipi homework imekushinda kaka?
    lete ishu mkuu

  15. NasDaz says:

    Mnh!! For a long time now nimekuwa niki-dream kusoma web design, the field is deep inside my heart!! Hata hivyo, baada ya kuiona hii ya kwako, ni kama nimekuwa shocked!!! Najiuliza, pale nitakaposoma (huku nikiona kozi zenyewe hapa ni kozi fupi fupi), kweli nami naweza kujiita web designer mbele ya watu wenye uwezo wa ku-design web kama hii ya kwako?! Ipo bado, lakini inatosha kutoa picha ya expected std!! All in all, big up sana! I hope siku moja nitaomba ushauri kwako abt it

  16. Evarist says:

    Hongera Ndugu Maxence.Tunasubiri kwa hamu uzinduzi rasmi wa tovuti yako.Japo naafikiana nawe kuwa ungependa kuona ikiwa katika hali bora kabisa,pengine ni muhimu kuanza hatua kwa hatua huku ukiendelea na maboresho kadri muda unavyokwenda.
    Nakutakia kila la heri.

Post a Comment

XHTML: You can use these tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

Please note: Comment moderation is enabled and may delay your comment. There is no need to resubmit your comment.

\/ More Options ...
Change Theme...
  • Users » 1
  • Posts/Pages » 1
  • Comments » 16
Change Theme...
  • VoidVoid « Default
  • LifeLife
  • EarthEarth
  • WindWind
  • WaterWater
  • FireFire
  • LightLight